iqna

IQNA

aden duale
Waislamu na Siasa Kenya
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Kenya amemuonya mwanasiasa maarufu Muislamu nchini humo kuhusu kuutumia Msikiti kama jukwaa la kisiasa.
Habari ID: 3476376    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/08

Waislamu Kenya
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Ulinzi nchini Kenya, Aden Duale Jumanne ameunga mkono vazi la Hijabu ambapo amewataka wanokerwa na wanawake wa Kiislamu kuvaa vazi hilo la stara nchini Kenya watafute nchi nyingine ya kuishi.
Habari ID: 3476284    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/21